Search

127 results for Kalunde Jamal :

  1. Wadau waonesha njia kukabili magonjwa ya mlipuko

    Wadau na watalaamu wa afya wamependekeza njia mbalimbali zinazopaswa kufuatwa ili kuzuia magonjwa ya mlipuko yanayojitokeza mara kwa mara kikiwemo kipindupindu kilicholipuka katika mikoa ya...

  2. Maumbile yake yamenishinda, nahisi anahitaji pete

    Amekuwa akinisisitiza kuwa nitazoea, lakini miaka inakatika na sijazoea kwa sababu ni maumbile makubwa yasiyo ya kawaida. Natamani avalishwe pete kuyapunguza ukubwa.

  3. Mwanamke anayependa maisha ya gharama hakupendi

    Si rahisi kumjua au kuwa na majibu ya moja kwa moja, lakini mara nyingi hupenda kula bata katika maeneo ya hadhi ya juu. Yaani siku zote anapenda vitu vya hadhi na gharama kubwa bila kujali una...

  4. Watofautiana nyimbo za kisasa kuchangia kuporomoka maadili

    Mhariri wa Jarida la Burudani gazeti la Mwananchi Kalunde Jamal amewaomba wasanii wakiihurumie kizazi kijacho kutokana na aina ya nyimbo wanazotoa kuchangia mmomonyoko wa maadili.

  5. Judestina Rwechunga Muuguzi aliyehudumia watoto na wajawazito kwa miaka 26

    “Awali changamoto kubwa ilikuwa ni wajawazito na watoto kusumbuliwa na malaria yaliyokuwa yakisababisha vifo kwa watoto wachanga, lakini elimu imeanza kusaidia na vifo vinapungua,” anasema...

  6. Malaria bado pasua kichwa nchini

    Wizara ya Afya inaendelea kutekeleza mpango mkakati wa malaria 2021 -2025, lengo likiwa kupunguza kiwango cha maambukizi ya ugonjwa huo kutoka asilimia 7.5 mwaka 2017 hadi kufikia asilimia 3.5...

  7. Imani potofu bado mwiba utokomezaji malaria

    Tabora, Kagera, Shinyanga. “Nimeanza kutumia kinyesi kikavu cha ng’ombe miaka mingi, nikichoma nafunga mlango moshi unajaa ndani kama kuna mbu wanakufa au wanakimbia kupitia uwazi mdogo uliopo.

  8. Sauti za Busara kuanza leo na vipaji vya nyumbani

    Baada ya miaka 19 ya mafanikio, leo Ijumaa Februari 10, katika eneo la Ngome Kongwe, Stone Town, litashuhudia tamasha la 20 tangu kuanzishwa kwake.

  9. ONGEA NA AUNT BETTIE: Nimemlea mwanaye, anirudishie gharama

    Nilimuoa mwanamke aliyekuwa na mtoto wa miaka miwili. Nilimuuliza kuhusu baba wa mtoto akasema alimkataa.

  10. ONGEA NA AUNT BETTIE: Hii mimba sio ya mume wangu

    Anti bila kuongeza uongo kuna wakati ninapata huduma hiyo kwa mwezi mara moja, ilhali mume wangu ana miaka isiyozidi 35, mimi nina 32 damu inachemka.

Page 1 of 13

Next